Viwanja vinauzwa Gezaulole Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 421

Kigamboni, Dar Es Salaam
24 days ago
Sh. 25,000,000
Ukubwa
421 SQM
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
GEZAULOLE KIGAMBONI
Km 14 kutoka ferry
km 3 kutoka barabara ya lami.
Tunamalizia plot 3 katika huu mradi, viwanja vimepimwa vyenye ukubwa ufuatao;
sqm421,
sqm407.
sqm471
▶️Bei ni tsh 25,000,000/= kwa kila kiwanja.
▶️Baada ya malipo unaandaliwa hati miliki kutoka wizara ya ardhi.
Site visiting ni kila siku
#0756096614
#0657722307
#0757963483















