Viwanja vinauzwa Kigamboni Buyuni, Dar Es Salaam (449 sqm)

video thumbnail
Sh. 10,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Ukubwa

449 SQM

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

Haihitaji uwe billionaire uweze kumiliki kiwanja kigamboni Leo napenda niwaletee mradi mzuri kabisa wa bei rafiki ambao ni mradi wa kigamboni buyuni

Bei yake ni kuanzia Milioni 5 tu na kuendelea. Hii ni nafasi nzuri kwa yeyote anayetamani kumiliki kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji wa baadaye.

Usikose fursa hii ya kuanza safari yako ya kumiliki ardhi. Nunua leo kabla bei haijapanda au viwanja kuisha. ๐Ÿกโœจ

Viwanja Vilivyopo sokoni na Vilivyotoka sokoni
โœ…Sqm 449 Tsh 4,490,000โœ…available โœ…
โŒ sqm 750 Tsh 7,500,000 โŒ sold โŒ
โœ… sqm 757 Tsh 7,570,000โœ…available โœ…
โŒsqm 480 Tsh 4,800,000โŒsold โŒ
โŒsqm 884 Tsh 8,840,000โŒ soldโŒ
โŒ sqm 721 Tsh 7,210,000โŒsold โŒ
โœ…sqm 616 Tsh 6,160,000โœ… available โœ…
โœ…sqm 711 Tsh 7,110,000โœ…availableโœ…

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa kupata kiwanja 0761444564

#KigamboniBuyuni #UwekezajiWaArdhi #ViwanjaDar #MilikiArdhi