Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni Kimbiji, Dar Es Salaam (480 sqm)

video thumbnail
Sh. 9,600,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Ukubwa

480 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Umeme
Karibu na Barabara
Karibu na Bichi
Road Access
Social Services Available
Safe Area

Maelezo

๐Ÿšจ KIGAMBONI KIMBIJI โ€“ FURSA YA KUMILIKI KIWANJA CHAKO LEO! ๐Ÿกโœจ

Unasubiri nini wakati eneo linaendelea kukua kwa kasi kila siku? Hii ndiyo nafasi ya kujenga nyumba yako ya ndoto au kuwekeza kwenye eneo lenye thamani inayoongezeka kila mwaka.

๐Ÿ“ KIGAMBONI KIMBIJI ๐Ÿ“ SQM 480

๐Ÿ’ฐ Bei ya Cash: โœ… TSh 9,600,000 tu (20,000 kwa SQM)

๐Ÿ’ฐ Bei ya Installment: โœ… TSh 12,000,000 tu (25,000 kwa SQM) ๐Ÿ“… Lipa kidogo kidogo hadi miezi 12

Eneo hili linafaa kwa: ๐Ÿ  Makazi ya familia ๐Ÿข Apartments za kupangisha ๐Ÿซ Nursery School ๐Ÿ’ผ Uwekezaji wa muda mfupi na mrefu

VITU VYA KUKUVUTIA ZAIDI: โœ”๏ธ Kilomita 33 kutoka Ferry hadi Site โœ”๏ธ Mita 300 tu kutoka barabara kuu โœ”๏ธ Kilomita 1 tu kufika Beach โœ”๏ธ Barabara zimechongwa mpaka Site โœ”๏ธ Umeme na huduma zote za kijamii zinapatikana โœ”๏ธ Eneo salama na lenye maendeleo makubwa

โš ๏ธ Leo ni nafuu kuliko kesho! Nunua sasa kabla bei haijapanda.

๐Ÿ“ž 0620 808 115

๐Ÿ“ Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1

SITE TO SITE REAL ESTATE "Tunakusaidia kumiliki ardhi salama kwa maendeleo ya leo na kesho."

#viwanja._.tanzania#kigamboni #uwekezaji #sitetositerealestate #kimbiji