Viwanja vinauzwa Kisemvule, Pwani

Huduma na Sifa
Maelezo
Furaha yangu nikiona mume na mke wamekuja kukagua kiwanja…. Huwaga hakuna longolongo mke akisema nimepapenda basi biashara imekamilika… kiwanja kinalipiwa…
Lakini akija mume peke yake utasikia, aaaaah ngoja nkamshirikishe mke wangu….
Kiwanja kimelipiwa icho….
Hapa ni kisemvule, mbele ya mbagala mkoa wa pwani…
Kiwanja hapa bei inaaanzia mil 1.6 tu… umeme na maji vyote site….















