Viwanja vinauzwa Kisemvule, Pwani

Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
3km — Kilwa Road
Huduma na Sifa
Maelezo
Unachokiona kwenye video ndio utakacho kikuta…. Kiwanja bei inaanzia milioni 1.6 tu…. Njia panda ya kibamba KISEMVULE…KILWA ROAD MBELE YA MBAGALA
Km 3 kutoka lami…
Unajua budget yako ya kiwanja haivuki mil 2.5, na unataka kiwanja kwenye makazi ya watu, huduma za kijamii zinapatikana… njoo ukague site…
Tupigie leo namba zetu 0785367831














