Tafuta

Viwanja vinauzwa Kitelela, Dodoma (1077 sqm)

video thumbnail
Sh. 12,000,000

Huduma na Sifa

Maelezo

Ushauri wa Bure Kabisa kutoka Kwetu PIC : Kwanini Unapaswa kununua Kiwanja Dodoma na haswa eneo la Kitelela, Msalato Airport Mwaka huu?

Watu wengi wanafikiri kununua Kiwanja Dodoma ni gharama sana , wengine wanahofu sana na kutapeliwa, wengine basi hawana taarifa sahihi, ukweli ni kwamba ukiwekeza na Kampuni na watu sahihi ni rahisi sana .

Kama Mkurugenzi na kama Mkazi wa zaidi Miaka 10 sasa nimeona jinsi Dodoma inavyochanua, kununua Kiwanja sasa hivi Dodoma sio anasa bali uwekezaji haswa, ni kweli Kiwanja Dodoma ni sawa na kununua dhahabu kwa bei ya shaba.

Kwetu viwanja ni bei poa sana , fanya hizi
Piga Simu , Chagua Kiwanja , Twende Site , Angalia nyaraka, Lipia!

Haya fuatilia video chini na kuna viwanja hapo kwa 12 M tu unalipia kwa awamu Ukubwa ni 1077 SQM , 1128 SQM na 1105 SQM

Simu iite hapa 0712376898 Dodoma
0786611014 Dar es Salaam

Matangazo yanayofanana Kitelela, Dodoma

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1575 sqm)

Sh. 25,500,000

For Sale1,575 sqm
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1575 sqm)

Sh. 25,500,000

For Sale1,575 sqm
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1370 sqm)

Sh. 4,500,000

For Sale1,370 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1575 sqm)

Sh. 25,500,000

For Sale1,575 sqm
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1575 sqm)

Sh. 25,500,000

For Sale1,575 sqm
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1575 sqm)

Sh. 25,500,000

For Sale1,575 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (5361 sqm)

Sh. 160,000,000

For Sale5,361 sqm
    Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (5361 sqm)

    Sh. 160,000,000

    For Sale5,361 sqm
      Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1175 sqm)

      Sh. 12,500,000

      For Sale1,175 sqm
      • Karibu na Barabara

      Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1040 sqm)

      Sh. 12,500,000

      For Sale1,040 sqm
        Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1040 sqm)

        Sh. 12,500,000

        For Sale1,040 sqm
          Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1040 sqm)

          Sh. 12,500,000

          For Sale1,040 sqm
            Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1175 sqm)

            Sh. 12,500,000

            For Sale1,175 sqm
            • Karibu na Uwanja wa Ndege

            Kiwanja kinauzwa Kitelela, Dodoma (1200 sqm)

            Sh. 20,000,000

            For Sale1,200 sqm
            • Karibu na Barabara