Viwanja vinauzwa Madale Kwa Kawawa, Dar Es Salaam sqm 400


Madale, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 35,000,000
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1.5km
Maelezo
Viwanja vizuri Sana vinauzwa:
Zipo plot 4 Tu za kuwahi Sana
Ukubwa-sqm 400 na 400+
Vya mbele bei ml 35 maongezi kidogo
Na vya nyuma Bei ml 26 maongezi kidogo
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Location - madale Kwa kawawa
Umbali- km 1.5 kutoka main road
Karibuni
MAWASILIANO 0746 433 854















