Viwanja vinauzwa Mbezi Mpiji Magoe, Dar Es Salaam (200 sqm)
Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 3,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
200 SQM
Maelezo
Eneo lipo mbezi mpiji magoe wilaya ya ubungo Lina vipande vidogovidogo vinne vya 10 kwa 20 kwa milioni 3 kwa kila kimoja hii video ni ya muda mrefu watu walikuwa bado hawajaaza kujenga hapa ila sasa hivi wameshaaza karibuni















