Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
🚨🚨NEW PROJECT COMING OUT NOW🔥🔥 Upo tayari kwa mradi mpya wa viwanja ? 📍 MWASONGA , KIGAMBONI Umejipanga kuwahi hotcakes kwenye mradi huu ? Weka notifications ON❗️ follow us na share kwa ndugu , jamaa na marafiki unaotamani kuwaona wanafanikiwa na wanamiliki kiwanja / viwanja huu mwaka 2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣
-
Viwanja vimepimwa na utapata Hati Miliki Kutoka Wizarani!
-
MILIKI KIWANJA NILICHOPIMWA & HATI KWA KULIPA CASH AU KIDOGOKIDOGO MPAKA MIEZI 12 🕰️
ukinunua hapa kwetu
✅unanunua leo , unajenga kesho bila stress
✅VIWANJA KIMEPIMWA RASMI
✅na tunakukabidhi HATI YA WIZARA
✅KIWANJA NI HATI👌
💸💰BEI KWA SQM NI
18,000/= CASH NA 22,000/= KWA MALIPO YA AWAMU ( UNALIPA KIDOGOKIDOGO) MPAKA MWAKA NA VIWANJA VINA UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI
-
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIMEFIKA SITE.
💧Maji
💡Umeme
🛣️Barabara
-
🚙RATIBA YA KWENDA SITE
Kila siku : Jumatatu - Jumapili
Muda: SAA 9:00 asubuhi - 11:00 jioni
-
☎️Tupigie simu :
0654319483 au 0754047231
Fuatilia ukurasa wetu @malengo_property_ltd
🏢Tembelea Ofisi zetu: ab plaza kisota maweni floor no 1 opposite kisota & aboud jumbe secondary school















