Viwanja vinauzwa Nala Chihoni, Dodoma (771 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
771 SQM
Barabara ya Karibu
500m — Ring Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
MRADI WA VIWANJA 12 NALA 🔥
(Kiwanja kuanzia No. 215 hadi 226)
🪢 Viwanja vya kuwekeza 🪢
📍 Mahali: NALA CHIHONI – DODOMA
✅ Vipo karibu sana na Ring Road (mita 500)
💰 Bei: Milioni 3.8 kwa kila kiwanja( malipo kwa awamu yanaruhusiwa)
📐 Ukubwa: Kuanzia SQM 771 hadi 1121
📄 DOCUMENT:
✔ Viwanja 4 vina HATI
✔ Viwanja 8 vina Surveyor Form
📞 Vyakuwahi sana boss















