House for rent at Keko, Dar Es Salaam
Nyumba nzima kubwa inakodishwa.inafaa kwa familia kubwa maana Ina zaidi ya vyumba 6 vyote masta.ina Sebule na jiko na choo Cha wageni.nyumba hii parking ya gari ndogo 3 zinapark au kubwa pia .Ina madirisha ya Aluminium.ina full tailizi.maeneo hiko keko juu mgulani shule jirani na chuo Cha Ualimu Duce.barabarani karibu Sana na huduma.ya mwendo Kasi hikianza dk 3 kituoni tu.bei ya nyumba hii kwa mwezi ukilipa 1 milioni unalipa mwaka ila.ukilipa milioni 1 na laki 2 unalipa miezi 8 au 10.chaguo lako mteja.nb.nyumba haichagui.mpangaji pesa tu.kwa mahitaji ya kuiona nyumba piga 0754206815(0629956838)kupelekwa kuiona service charge 10000(elfu 10)