5 Bedrooms House for Rent at Keko, Dar Es Salaam
🏠 NYUMBA inapangishwa maneno keko juu
🏠 VYUMBA vipo vitano vyote master bedroom ☑️
💯BEI sh million moja na laki mbili Kwa mwezi ☑️
💯UKILIPA KODI y mwaka sh million 1 Kwa mwezi☑️
💧Maji kisima kipo yakupandisha
🅿️ PARKING gari ndo mpaka sita zinaingia💥
👀Kwenda kuonyeshwa elfu ishirini 💥