1 Bedrooms House for Rent at Keko, Dar Es Salaam


Vyumba vyumba kimoja kimoja vimebaki 3 ni chumba kimoja kimoja kinapangishwa .umeme shea.choo Shea pia.vyumba bado vipya.maji yapo.
Area Mgulani keko juu.sio mbali Sana na Chuo Cha ualimu Duce.bei kwa mwezi 120000
Kodi miezi 6
Malipo ya dalali ya mwezi 1
Kuona elfu 10
Mawasiliano 0754206815/0629956838