1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
Ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ni mpya
KODI YA PANGO KWA MWEZI
_____________________________
kodi kwa mwezi ni laki 4 tuu
(400,000)
X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
0713661530_0783661530