1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(100,000X6)KIMARA BUCHA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
*HII NI KUBWA KULIKO*
*Hiki ni kinyumba Cha chumba kimoja tu kikubwaaaaaa*
*Chumba iki hakina tiles, ila kina floow nzuri Sana, juu kina Gypsum na feni mbili*
*Chumba iki hakina master Bali Kuna public toilet ya kwako kwa pembeni mwa nyumba kwa nje*
*Chumba iki kinajitegemea umeme na maji*
*Yaani kina miter yake ya LUKU na miter yake ya MAJI*
*Maji yanafloow chooni*
*Nyumba hii ipo ndani ya fens open space ni kubwa Sana ya kulaza magari, peving Brock na garden zakutosha ndani*
*Ndani ya fens zipo nyumba mbili*
*Nyumba hii ipo KIMARA BUCHA*
*Umbali wa Dk.15 kutembea kwa miguu adi setendy au bodaboda buku 1,000/= adi getini*
*KODI shs.100k*
*Kwenda kuonyeshwa nyumba shs.15,000/=
*Ulipiapo nyumba utatoa na hela ya dalali ya mwezi Mmoja 100k*
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223422
0683597453