1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
Kodi 150,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
___________
CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#JIKO LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU WAWILI
#MAZINGIRA MAZURI SANA
NB: INAKUWA WAZI TAREHE 26/7/2025 KUONA KULIPIA RUKXA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.