1 Bedrooms House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam







⚡️CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO 140k
Location: UBUNGO EXTERNAL MAKUBURI
Distance: Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 Tu Kutoka Barabarani 🚶🚶
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO LAKE NDANI
Apartment Zipo Ndani Ya Eneo Moja Fence Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani, UMEME LUKU SUB-METER YAKO
Price: 140,000 × 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp