1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Classic Inapangishwa
KODI 300,000 × 4/5/6
Location: KIMARA SUKA
Distance: DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
SOMA KWA MAKINI HAPA...
BODA 1000 MPAKA GETINI NJIA NZURI..
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA ....
📍Sebule Kubwa
📍Chumba Kimoja Kikubwa Master
📍Jiko Kubwa Zuri
📍Public Toilet Nzuri 🚻
📍Maji Ndani Yanaflow 24HRS
📍Luku Yako
📍Tires, Gypsum Na Slide Windows
📍CCTV Cameras 📷
📍Mlinzi Kampuni 24HRS
📍Ndani Ya Fence
📍Parking Space Kubwa Sana 🚗
📍Good Environment 👍
---------
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp