Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Classic Inapangishwa
KODI 300,000 ร 4/5/6
Location: KIMARA SUKA
Distance: DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
SOMA KWA MAKINI HAPA...
BODA 1000 MPAKA GETINI NJIA NZURI..
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA ....
๐Sebule Kubwa
๐Chumba Kimoja Kikubwa Master
๐Jiko Kubwa Zuri
๐Public Toilet Nzuri ๐ป
๐Maji Ndani Yanaflow 24HRS
๐Luku Yako
๐Tires, Gypsum Na Slide Windows
๐CCTV Cameras ๐ท
๐Mlinzi Kampuni 24HRS
๐Ndani Ya Fence
๐Parking Space Kubwa Sana ๐
๐Good Environment ๐
---------
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp