2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KANYUMBA KAZURI SANA KAPYA KAPO PEKE YAKE APO
.
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KM 1.7 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 BODA 1000 MPKA HOME
.
====
KODI NI 250,000/=X6
.
SIFA ZAKE
========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NYUMBA MPYA
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
AINA UZIO INA GARI INAFIKA VIZURI NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
.
SERVICHAJ ELFU 15 TU
.
CONTACT
0683234124
0718367179