2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZIPO PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK15 KUTOKA LAMI
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBLE KUBWA
JIKO
PUBLIC TOILET
SLIDE WINDOW
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
PARKING SPACE KUBWA
Service Charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI