2 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
MAHALI KIBAHA KWA MFIPA
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom
sebule jiko na public toilet .
Chumba cha 3 kipo nje ambacho ni master bedroom
Ukubwa wa ENEO SQM 1000
Umbali kutoka Morogoro Road km 2 Tu
Usafiri wa Boda boda 1000 T
ENEO limepimwa tayari
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25
Bei Tsh M 49.5/=
☎️ #0757208653