2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 700,000 × 6
ITAKUA WAZI KUANZIA 30/03/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIR-CONDITION
#CCCTV CAMERAS 📷
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
🇹🇿 APARTMENT HII IPO #KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 TUU
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp