2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI

450,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024

๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 450,000/= X 6

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

NOTE:- ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

==========

CONT

0683234124

Dalali Bony Kimara Mbezi
dalali_bony_kimara_mbezi
Dalali Bony Kimara Mbezi

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA KM2 KUTOKA LAMI ----...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI KIMARA STOP OVER KM1.5...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

(170,000 ร— 6) ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฆ๐—จ๐—ž๐—”APARTMENT FOR RENT ๐Ÿ’ฅ BEI NI 170,000/= ร— 6๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA KOROGWEUmbali wa ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

KODI 450000X4/5/6NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONI -------------IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KUTOKA BA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 ๐ŸŒŸ NYU...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

( 70,000 x 6 ) KIMARA MWISHO SINGLE ROOM KUBWA SANA INAPANGISHWA NDANI YA FENSIUMBALI WA KILOME...