2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
LOCATION: KIMARA BUCHA
DISTANCE: DAKIKA 3 KUTOKA MAIN ROAD 🚶🚶
KODI NI 450,000 × 6
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA la KISASA
CHOO CHA PUBLIC NDANI 🚻
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO METER YA MAJI INAJITEGEMEA NA YANATOKA NDANI 24HRS
RESERVE TANK
IPO NDANI YA FENCE
GOOD ENVIRONMENT 👍
ZIPO APARTMENT 2 NDANI YA COMPOUND 1
NB: ITAKUWA WAZI 01/03/2025
KARIBUNI
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp