2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #350๐
UNAWEZA KUPITIA STOP OVER
==
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 350,000 Kwa mwezi ร 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 na bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167