2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road Kituoni
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA WAPO MASTER
• JIKO KIBWA
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747