Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road Kituoni
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข SEBULE KUBWA
โข VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA WAPO MASTER
โข JIKO KIBWA
โข PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747