3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM1.3 KUTOKA LAMI
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
KUNA SERVANT CORTER YA CHUMBA SEBLE
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=ร6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.