3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani




PAGALE LA VYUMBA VITATU (3) TSHS.10 MILIONI, KIBAHA MSUFINI.
Haapa kuna umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa ni Kiwanja ni SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa; vyumba 3(Masta 1) Sebule, Jiko, Choo.
Imejengwa imara na karibunim tu.
HII HAITAKIWI KUJIULIZA SANA.
UTACHELEWA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.