3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani







NYUMBA_INAUZWA(NYUMBA BADO MPYA) MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGE
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500(20*25)
NYUMBA TAYAR INA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI
BARABARA ZAKE NI NZURI
NYUMBA IPO NDAN YA FENSI NJE KUNA SPACE KUBWA IMEBAKI UNAWEZA KUJENGA MABANDA KAMA NI MFUGAJI AU KUFANYA CAR PARKING
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
JIKO LENYE KABATI
STOO
PUBLIC TOILET
BEI TSH 65/=MILLION HAKUNA MAONGEZI HAPA.
SITE VISIT 30,000/= (hii itadumu mpka utakapo Pata nyumba kwetu)
PIGA SIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343