3 Bedrooms House for sale at Majohe, Dar Es Salaam





NYUMBA YA VYUMBA 3, TSHS.19 MILIONI, MAJOHE.
CHUO CHA RADA.
Ni nyumba mpya.
Vyumba 3, Sebule,Jiko na Choo cha Familia.
Ina Tiles,Gypsum, Umeme na Maji safi.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.