4 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


500,000/= malipo miezi 6 haishuki (Nyumba kubwa ya vyumba 4)
200,000/= miezi 6 (Servant cotter)
700,000/= miezi 6 (Kama unachukua zote)
BILA SHAKA MMEELEWA 🤝
NYUMBA KUBWA:
🦋Vyumba 4 kimoja master
🦋Sebule
🦋Dining room
🦋Jiko
🦋Public toilet
🦋Stoo
🦋Air Condition
🦋Maji dawasa yapo
📍Location: Goba road, Muhimbili street, meters 700 kutoka lami
0714733355 nipigie/WhatsApp