4 Bedrooms House for Rent at Ukonga, Dar Es Salaam
BOSS KATOA OFFER YA MWAKA MPYA NA CHRISTMAS
#NYUMBA I N A U Z W A - MILLIONI 55 TUU
#IPO: UKONGA MOMBASA MOSHIBAR MKOLEMBA
OFFER 1: NI KAMA IFUATAVYO LIPA MILLIONI 30 TUU, ITAKAYOBAKIA UTAILIPA NDANI YA MWAKA MZIMA
OFFER 2: ACHANA NA KULIPA KODI ULIPO NJOO HAMIA KABISAA HUKU UNALIPA HUKU UMEEPUKA GHARAMA ZA KODI ULIPO
SIFA ZA NYUMBA:
βοΈ INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VINNE VYA KULALA CHUMBA KIMOJA NI SELF-CONTAINED ROOM, CHOO CHA PUBLIC, JIKO LENYE MAKABATI NA STOO YAKE
βοΈ NYUMBA INA UMEME, MAJI π§, PAVINGS, FENCE NA WATER HEATER
NYUMBA HAINA TATIZO LOLOTE INAUZWA NA MHUSIKA
β
οΈIPO KWENYE PROCESS YA HATI NA INA SALES AGREEMENT YA KISHERIA PAMOJA NA SERIKALI YA MTAA
β
οΈUKUBWA WA ENEO NI 350SQM
KUPELEKWA NI 20K NA MIMI NIMETOA OFFER BADALA YA 30K
βοΈ0746 433 854