Farm for sale at Mkuranga, Pwani
Shamba linauzwa MKURANGA, lipo KM 3 kutoka MKURANGA MJINI NA NI KM 3 kutoka lami
Umeme upo pembeni ya shamba hili
Shamba lina mazao mengi MNO
Minazi 42
Miembi 10
Mikorosho 12
Shamba ni Tambarare na halina Migogoro yotote
Bei Tsh 6,000,000 kwa heka na lina heka 2 na zinauzwa zote wa pamoja jumla ni Tsh 12,000,000
Gharama ya kutembelea shamba TSH 30,000 tu
Nipigie simu 0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987