Farm for sale at Mkuranga, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 100,000 per month
Installment Allowed
Yes
Installment Allowed
Agriculture

Kilimo cha nazi kina fursa ya biashara, kinaweza kuchangia nakisi ya kitaifa ya mafuta ya kupikia , nazi ina uwezo wa kuchangia takriban asilimia 80 ya mafuta ya kula na kuziba pengo la uagizaji wake kutoka nje nchi.

Kwa sasa nchi huagiza tui la nazi kutoka Thailand na Indonesia kwa sababu hakuna uzalishaji wa kutosha kuhudumia viwanda vya ndani.
Zao la nazi ni kitegauchumi kikubwa kwa sababu unaweza kurithisha kizazi chako kwa mfano mkulima akiwa na umri wa miaka 25 baada ya miaka 70 unaweza kuwaachia watoto wako kuliendeleza minazi huanza kutoa mavuno ikifikisha kati ya umri wa miaka 5 na 6.
Uzalishaji wa kiuchumi hudumu kwa miaka 70

Miliki Viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako
Minazi huishi kwa zaidi ya umri wa wastani wa Mtanzania ,Mnazi ni Mti wa Uzima,
Mnazi huzaa nazi kila mwezi
Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima.

3 mln unapata shamba hekari 1 na minazi 40 ndani
Utavuna baada ya miaka 5 Uzalishaji wa kiuchumi hudumu hadi miaka 70

Mradi upo wilaya Mkuranga mkoa Pwani
Miliki viunga vya minazi
Uongeze hadhi yako, mnazi ni mti wa uzima
lipa 100000 kila mwezi kwa miezi 24
Heka 1 inakuwa na minazi 40

Kilimo cha minazi ni pensheni kwa wakulima
0785559755

LUX SMART VILLAGE INVESTMENT
luxsmartvillage
LUX SMART VILLAGE INVESTMENT

Similar items by location

2 Bedrooms House for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 10,000,000

Shamba LINAPATIKANA MKURANGA, KM 3 kutoka MKURANGA MJINI..Shamba lina HEKA 2Ndani lina sehemu ya kuk...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 1,500,000,000

Industrial plot for sale at Dundani In Mkuranga District located along the main kilwa road- Plot si...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 4,000,000

Shamba linapatikana MKURANGA… km 2.5 kutoka MKURANGA MJINIShamba lipo mita 600 kutoka lamiLina ukubw...

Plot for sale at Mkuranga, Mkuranga, Pwani
  • 6000sqm

Sh. 70,000,000

-Plot facing main tarmac road to kisiju. -3km from Kilwa road. -2km from Main Hospital Mkuranga and ...

Plot for sale at Mkuranga, Mkuranga, Pwani
  • 6000sqm

Sh. 70,000,000

-Plot facing main tarmac road to kisiju. -3km from Kilwa road. -2km from Main Hospital Mkuranga and ...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 50,000

TUKUTANE SITE JUMAMOSI HII🔥🔥✅️CHALINZESqm 1 Tsh.2,000Kiwanja Tsh.67,000 tu kila mwezi✅️MKURANGASqm...

Farms for sale at Mkuranga, Pwani
  • Agriculture
  • Project

Sh. 4,000,000

Shamba linauzwa MKURANGA PANAITWA NJIA PANDA YA KISELE NI km 4 kutoka MKURANGA MJINIShamba lipo chin...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 1,700,000,000

*Industrial plot Ekari 8 inauzwa Kisemvule, Mkuranga**Distance* 500 Meters kutoka Kilwa road*Locatio...

Plots for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 67,000

Tuambie sisi unataka kumiliki kiwanja wapi na ukubwa gani...? Sisi tutakupatia tena kwa bei ya Kitan...

House for sale at Mkuranga, Pwani

Sh. 100,000

330 ACRES RUNNING FARM PROJECT, TSHS.2.5 BILLION AT MKURANGA, PWANI,TANZANIA.ONLY 230 Acres portion ...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment

Sh. 80,000

Tukumbushane kidogo wapendwa wateja wetu kesho site mapeema kabisa Yani usipange kuikosa kabisaa,vin...

Plot for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment

Sh. 80,000

MKURANGA 🔴 Bei ya kiwanja Tsh.500,000 tu🔴 Lipia Tsh.50,000 kila mwezi🟡Bei ya kiwanja Tsh.600,000...

Farms for sale at Mkuranga, Pwani
  • Agriculture
  • Project

Sh. 6,000,000

Shamba linauzwa MKURANGAHeka 1 bei tsh 6,000,000Umeme na maji vinapatikanaShamba linafaa kwajili ya...

Farms for sale at Mkuranga, Pwani
  • Agriculture
  • Project

Sh. 10,000,000

Shamba linauzwa MKURANGAHeka 1 bei tsh 10,000,000Umeme na maji vinapatikanaShamba linafaa kwajili ya...

Plots for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 50,000

Je unahitaji kiwanja lakini unahitaji kulipia kidogo kidogo na hujui ni ipi sehemu sahihi kwako !!Ba...

Plot for sale at Mkuranga, Mkuranga, Pwani
  • 8000sqm

Sh. 120,000,000

Kiwanja Kikubwa – 8,000 SQM Mkuranga Mjini! Kiko pembeni kabisa mwa barabara kuu ya lami | Eneo lina...

Plots for sale at Mkuranga, Pwani
  • Project

Sh. 50,000

Tukutane site JUMAMOSI HIISite visiti:MKURANGA Bei ya Viwanja: TSH.50,000 TUUkubwa wa viwanja:SQM 40...

Plot for sale at Mkuranga, Mkuranga, Pwani
  • 8000sqm

Sh. 120,000,000

PLOT NZURI INATAZAMA BARABARA KUU (KISIJU ROAD) INAUZWA BINAFSI LIPO MKURANGA MJINI MKOA WA PWANI LI...

Plots for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 50,000 per month

MKURANGA Ukubwa wa viwanja kuanzia 20*20 (Sqm 400)Lipa kidogo kidogo Tsh.50,000 tu kila mwezi CHALIN...

Plots for sale at Mkuranga, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 50,000

Matajiri eeee.....Mpoooo !!Vya Tsh.50,000 bado vipoo yani hujachelewa kabisaa Tajiri yetuMradi huu u...