Furnished House/Apartment for Rent at Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam







350K X6 APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1 KUTEMBEA KWA MIGUU NI DK 12_15 NA USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALDALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.2 CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI DINING ROOM KUBWA SANA UNAWEZA GEUZA KUWA CHUMBA CHA MDADA WA KAZI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCKS UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI NB: NYUMBA INARUDIWA RANGI UPYA KWA NDANI CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K CONT ๐ ###0655256419