Furnished House/Apartment for Rent at Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam







WAHI MAPEMA HII SI YA KUKOSA HII LOCATION: KIMARA MWISHO KODI NI 150,000X6 NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO UMEME LUKU WAWILI MAJI WAWILI MAJI YANA FLOW NDANI UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5 USAFILI BAJAJI 700 DALADALA 500 NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 ๐๐พNOTE: NYUMBA HII ITAKUA WAZI TAREHE 7/7/2025 ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA WATSUP OR CALL ##0655256419