House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI
NYUMBA INA VYUMBA2 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO LENYE MAKABATI PUBLIC TOLETI
INA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
IPO NDANI YA FENCE PAKING IPO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA ELFU 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347