House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI150kX 4๐
Chumba Cha kulala
Sebule nzuri
Jiko zuri
Choo public ndani
Bei:150,000 x 4...ila kuna dopozit ya maji taka 40..ilipwe kwa awamu ya kwanxa tu
Inajitegemea umeme, maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Umbali KM 2. 5 Bajaji zipo toka kimara mwisho au kimara suka
bajaji 700๐
bodaboda 1000๐
Ndani ya fence parking hakuna
Kupelekwa kwenye Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347