House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 150,000X3
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE
NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 3
BAJAJI 1000
DALA DALA 800
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
====