House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 4
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI mpya
Ina vyumba viwilli vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Ipo kwenye hatuwa za mwisho
MAFUNDI WAPO KAZINI
KODI YA PANGO
________________
NI (500,000)
X 6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA sm
0712500602
0755336565