House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(170,000X6)KIMARA KOROGWE 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA
UMEME SUBMETER PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
KODI NI TZS 170K X6
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453