House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


180,000
◇◇◇◇◇◇
APARTMENTS NZURII SANA INAPANGISHWA ZIKO TATU NDANI YA FENSI WAHII MAPEMA
💰BEI :180,000
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER
SEBULEE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC NJEE
NYUMBA HII INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
🛣LOCATION:KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 2.5
USAFIRI BAJAJI 700
DALADALA 500
💰KODI;ILIPWE LAKI 180 X KWA MIEZI 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELFU 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
0679 956 863
0696708032