House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa
Mbezi makabe
Inavyumba v3
Kimoja master
Sebule
Dainng
Jiko
Public toilet
Barabara nzur inafikika
Nagari ata gari yachini
Kod 500,000 /= kwamwezi
Malipo miezi sita
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347