House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


250,000
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO MBEZI LUGULUNI LA PAZI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 4 UPO NDANI
YENYE
MASTA BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA INA VYOO VYA PUBLIC TOILET NDANI PIA TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE MOJA NDIO IPO WAZI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA NUSU 250K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 πΉπΏ
0679 956 863
0759151624