House for rent at Mbuyuni, Morogoro


Apartments nzuri sana #MPYAA zinapangishwa SALASALA MWISHO WA LAMI NJIA YA MALOBO zimebaki chache wahi
Kodi 200,000 × 6
Apartment hizi zina sifa zifuatazo:
Chumba kimoja cha kulala
Sebule nzuri
Jiko zuri open kitchen
Choo kizuri ndani ( Public Toilet)
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Full paving blocks
Full garden
Parking space kubwa sana
Kutoka MBUYUNI BAJAJI 1000 na ukishuka dakika 4 mpaka 5 upo ndani
*Service charge ni shilingi 20,000*
*MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA KAMILI*
Contact:
0654101710
0787205300