House for sale at Kibaha, Pwani


🔹Nauza nyumba yangu ipo kibaha kwa mathias inavyumba 🔹vitatu vya kulala viwili master public toilet big sitting room 🔹with dining kitchen&store
🔹Nafasi ya parking ipo pia umeme na maji yapo nauza Kwa bei 🔹ya shilling million 50 maongezi yapo kidogo ni nyumba 🔹mwenyewe naishi kabisa
🔹Nimepata uhamisho nahamia Dodoma
🔹Kwamaongezi Zaidi piga simu
🔹 Coll & wtssp : +255615170057