House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏡 APARTMENT'S NZURI SANA ZA KISASA BADO MPYAA.. ZINAPANGISHWA KIMARA KOROGWE📌📌
💥 KODI YAKE 250,000\/-x6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA
🏘️ SIFA ZA NYUMBA -
⚡MASTER BEDROOM KUBWA
⚡ SEBULE KUBWA
⚡ JIKO SAFI LENYE MAKABATI
⚡ UMEME METER YAKE
⚡ MAJI SAFI DAWASA, METER YAKE NA YANAFLOO NDANI
🏡 NYUMBA HIZI MPYA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 2 BAJAJI TSH500\/= BODA TSH1000\/=
❌NOTE:: NYUMBA HII FENCE INAENDELEA KUJENGWA, NA PIA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA❌
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SANA📌07 55336565/ 07 12500602 wtsp