Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ก APARTMENT'S NZURI SANA ZA KISASA BADO MPYAA.. ZINAPANGISHWA KIMARA KOROGWE๐๐
๐ฅ KODI YAKE 250,000\/-x6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA
๐๏ธ SIFA ZA NYUMBA -
โกMASTER BEDROOM KUBWA
โก SEBULE KUBWA
โก JIKO SAFI LENYE MAKABATI
โก UMEME METER YAKE
โก MAJI SAFI DAWASA, METER YAKE NA YANAFLOO NDANI
๐ก NYUMBA HIZI MPYA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 2 BAJAJI TSH500\/= BODA TSH1000\/=
โNOTE:: NYUMBA HII FENCE INAENDELEA KUJENGWA, NA PIA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHAโ
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
๐๏ธ๐น๐ฟ KARIBUNI SANA๐07 55336565/ 07 12500602 wtsp